Service Charter

SERVICES USER  CHARGES TIMELINES
1 Reception and Registration of asylum seekers NIL   1 Day
2 Maintaining an appropriate registration and documentation system for refugees NIL Weekly
3 Issuing identification cards to bona fide refugees NIL 3 Months
4 Issuing movement passes to refugees residing in Kakuma and Daadab camps NIL 3  Days
5 Processing of Conventional Travel Documents NIL 15  Days
6 Processing application of exit stamps/visa NIL 5   Days
7 Response to refugee complaints NIL 7   Days
8 Holding consultative meeting with implementing partners NIL 1   Day
9 Response to urgent correspondence NIL 3   Days
10 Processing of applications to visit refugee camps NIL 7   Days

 

MKATABA WA KUDUMU

HUDUMA ZINAZOTOLEWA MALIPO MUDA
1 Kuwapokea na kuwasajili watu wanaotafuta hifadhi na wakimbizi Bure Siku  moja
2 Kuhifadhi sajili maksusi ya wakimbizi wote Kenya Bure Kila   juma
3 Utoaji wa vitambulisho kwa wakimbizi halali Bure Miezi mitatu
4 Utoaji wa pasi za usafiri kwa wakimbizi kwenye kambi na maeneo ya miji Bure Siku  tatu
5 Utayarishaji wa hati za usafiri Bure Siku kumi na tano
6 Utoaji wa hati za visa kwa wakimbizi wanaopata makao mapya Bure Siku  tano
7 Kushugulikia malalamishi ya wakimbizi Bure Siku  saba
8 Kuandaa mikutano na wadau kushughulikia maslahi ya wakimbizi Bure Siku  tatu
9 Kushughulikia maombi ya dharura ya wakimbizi Bure Siku  tatu
10 Utoaji wa vibali vya kuzuru kambi za wakimbizi Bure Siku  saba